title : KAMATI YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU WAKUTANA NA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA BIASHARA HIYO
kiungo : KAMATI YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU WAKUTANA NA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA BIASHARA HIYO
KAMATI YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU WAKUTANA NA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA BIASHARA HIYO
Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu , Seperatus Fella, akizungumza na wadau kutoka taasisi zinazojihusisha na kupambana na biashara hiyo waliokutana katika jijini Dar es Salaam leo, ili kujadili mikakati ya kutokomeza biashaara hiyo nchini. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Afisa uchunguzi Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Ahmed Mwendadi, akifafanua jambo kwa wadau kutoka Taasisi zinazopambana na biashara hiyo waliokutana jijini Dar es Salaam, ili kujadili mikakati ya kutokomeza biashaara hiyo. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkurugenzi Mtendaji wa ANPPCAN Tanzania, Wilbert Muchunguzi, akieleza jambo juu ya shughuli wanazofanya katika kupambana na Biashara Haramu ya Kuzuia Usafirishaji Binadamu nchini. Kushoto ni Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Seperatus Fella. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hivyo makala KAMATI YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU WAKUTANA NA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA BIASHARA HIYO
yaani makala yote KAMATI YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU WAKUTANA NA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA BIASHARA HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU WAKUTANA NA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA BIASHARA HIYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kamati-ya-kuzuia-usafirishaji-haramu-wa.html
0 Response to "KAMATI YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU WAKUTANA NA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA BIASHARA HIYO"
Post a Comment