title : Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu
kiungo : Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu
Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu
Baadhi ya Watu kutoka Oman, ambao walihudhuria Kongamano la Kiislamu lililotayarishwa na Jumuiya ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, inayohusiana na dhamira ya kuanzishwa kituo hicho Kisiwani humo.
Baadhi ya Watu kutoka Oman, ambao walihudhuria Kongamano la Kiislamu lililotayarishwa na Jumuiya ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, inayohusiana na dhamira ya kuanzishwa kituo hicho Kisiwani humo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa ambazo , zimesajiliwa na taasisi hiyo ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, wakishiriki katika mdahalo huo uliotayarisha na jumuiya hiyo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa ambazo , zimesajiliwa na taasisi hiyo ya Samael Academy, iliopo Gombani Pemba, wakishiriki katika mdahalo huo uliotayarisha na jumuiya hiyo.
Muanzilishi wa Taasisi ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, Sheikh Nasiri bin Said bin Ali, ( mwenye Joho) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa huko katika ukumbi wa Jumuiya hiyo Gombani Pemba.
Baadhi ya Wanafunzi wanaolelewa na Taasisi ya Samael Academy , wakiwemo Mayatima ambao wanapatiwa huduma mbali mbali ikiwemo Elimu, wakijumuika na Watu mbali mbali katika Kongamano la Kiislamu lililoandaliwa na Taasisi hiyo huko katika ukumbi wa Taasisi hiyo Gombani Pemba,
Sheikh Jabir bin Mussa (Al-abry ) kutoka Oman , akizungumza na Waislamu waliohudhuria Kongamano hilo la Kiislamu lilioandaliwa na Taasisi ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba.
Picha na BAKAR MUSSA-PEMBA.
Hivyo makala Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu
yaani makala yote Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/jumuiya-ya-samail-yaandaa-kongamano-la.html
0 Response to "Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu"
Post a Comment