IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA

IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA
kiungo : IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA

soma pia


IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro (katikati), akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, wakati alipofika ofisini kwake jana. IGP Sirro, yupo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi, yenye lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo. kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi, DCP Ahmed Msangi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Mwanza, kwa lengo la kujitambulisha, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Mwanza, alipofika kwa lengo la kujitambulisha, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa Jeshi hilo baada ya kumaliza kikao kazi na maofisa na askari ambapo aliwasisitiza kuzingatia weledi wakati wa kutekeleza majukumu yao. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA

yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-akutana-na-kamati-ya-ulinzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOANI MWANZA"

Post a Comment