IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA
kiungo : IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA

soma pia


IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akiwasili uwanja wa ndege kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kushoto ni kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro,  akizungumza na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas Mkondya (wa kwanza kushoto), muda mfupi alipowasili nchini akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kulia ni Kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro(wa kwanza kulia),akitafakari jambo baada ya kuwasili nchini akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), anayefuata ni Kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP) Lucas Mkondya
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya makamanda na washiriki kutoka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO),  waliohudhuria mafunzo ya kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka, mafunzo yaliyofanyika katika chuo cha Jeshi la Ulinzi la Kenya kilichopo katika eneo la Embakasi, jijini Nairobi
Baaadhi ya vikosi vya Jeshi la Polisi kutoka nchi wanachama wa Shirikisho la Wakuu kwa Polisi wa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), walioshiriki katika mafunzo ya kujengewa uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka, mafunzo yaliyofanyika katika chuo cha Jeshi la Ulinzi la Kenya kilichopo katika eneo la Embakasi, jijini Nairobi. 


Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA

yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-afanya-ziara-ya-kikazi-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA"

Post a Comment