title : HAFLA YA TUZO ZA SUPERBRANDS AFRIKA MASHARIKI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : HAFLA YA TUZO ZA SUPERBRANDS AFRIKA MASHARIKI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
HAFLA YA TUZO ZA SUPERBRANDS AFRIKA MASHARIKI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Wakurugenzi na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakiwa na mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer (wa tatu kutoka kushoto).
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer akiongea mapema leo katika halfa ya kukabidhi vyeti vya kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki iliyofanyika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam. Picha na Kajunason/Cathbert Kajuna.
Wakurugenzi na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakimsikiliza mkurungenzi wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa kampuni zenye sifa katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.
Hivyo makala HAFLA YA TUZO ZA SUPERBRANDS AFRIKA MASHARIKI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote HAFLA YA TUZO ZA SUPERBRANDS AFRIKA MASHARIKI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAFLA YA TUZO ZA SUPERBRANDS AFRIKA MASHARIKI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/hafla-ya-tuzo-za-superbrands-afrika.html
0 Response to "HAFLA YA TUZO ZA SUPERBRANDS AFRIKA MASHARIKI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment