FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA

FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA
kiungo : FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA

soma pia


FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA

 Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza akiwa amebebwa juu na wanafunzi wenzie wa shule hiyo baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika Masomo ya Sanaa na Biashara katika matokeo yaliyotangazwa na baraza la mitihani Julai 15, 2017.
  Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza  akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake wote wawili ,Thomas Samky na Victoria Samky walipofika shuleni hapo
 Wanafunzi waliofanya vizuri katika Mitihani ya Kidato cha sita na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa, Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo wakiwa ni wenye furaha kufuatia matokeo kutoka ambapo Atuganile amekuwa wa tatu kitaifa katika Masomo ya Sayansi na Kabhabhira amekuwa wa Saba katika masomo hayo.
 Mwanafunzi aliyefanya vizuri na kuwa wa tatu  katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,  Atuganile Cairo akiwa na Mama yake Mzazi  akimpongeza kwa kufanya vizuri katika mtihani huo wa kidato cha Sita
 Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo  wakisalimiana na Mwalimu mkuu wa Shule ya Wasichana fedha ,Ibrahim Rashid pamoja na baba yake atuganile Jimmy Cairo


Hivyo makala FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA

yaani makala yote FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/feza-sekondari-yatoa-aliyeongoza-kidato.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA"

Post a Comment