Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia

Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia
kiungo : Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia

soma pia


Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia

Mwambawahabari 

Timu ya Soka ya Uingereza, Everton imewafunga mabingwa wa kombe la SportPesa 2017, Gor Mahia ya Kenya 2-1 katika mchezo ulioshuhudiwa na maelfu katika uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.

Everton walikuwa wa kwanza kushindilia goli la kwanza nyavuni kupitia mchezaji wake mpya Wayne Rooney katika dakika ya 34 akipiga shuti kali umbali wa takribani hatua 30.

Hata hivyo, Gor Mahia walifanya purukushani zenye mahesabu mazuri na kurudisha kipigo hicho ndani ya dakika nne, hali iliyowaweka Everton mguu sawa. Magoli hayo yalidumu hadi wakati wa mapumziko huku timu hiyo ya Uingereza ikionekana kumiliki zaidi mpira.

Piga ni kupige iliyoambatana na makosa ya hapa na pale yaliyokuwa yanafanywa na Gor Mahia ilipelekea Everton kupata goli la pili lililowekwa nyavuni na Kieran Dowell aliyewatoka walinzi na kupiga shuti kali, hivyo kufanya matokeo kuwa 2-1 yakidumu hadi kiliposikika kipyenga cha mwisho.

Tofauti na wengi walivyotegemea, Gor Mahia walijitahidi kuwapa wakati mgumu Everton hali iliyosababisha kocha Dylan Kerr kutoa maelekezo ya mara kwa mara kwa wachezaji wake.

Rooney pia alikutana na kisiki cha kukamiwa na wachezaji wa Gor Mahia wakitimiza ahadi yao ya kumdhibiti ingawa nahodha huyo wa zamani wa Manchester Utd hadhibitiki kirahisi, hali iliyopelekea kuwapa madhara ya goli moja.


Hivyo makala Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia

yaani makala yote Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/everton-ya-linda-heshima-yake-yairarua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Everton ya Linda heshima yake, Yairarua Timu ya Gor Mahia"

Post a Comment