DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC

DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC
kiungo : DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC

soma pia


DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC

Klabu ya Yanga leo imemtangaza rasmi aliyekuwa afisa habari wa klabu ya soka ya Mbeya City Bwana Dismas Ten kama afisa habari wao baada ya kuingia nae mkataba leo. 

Dismas anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa afisa habari wa klabu hiyo Jerry Murro ambaye mwaka jana 09 Julai 2016 alifungiwa na Shirikisho la soka nchini kujihusisha na soka.

Nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na Godlisten Anderson Chicharito kama kaimu afisa habari ambaye sasa ataendelea na nafasi hiyo chini ya Dismas Ten. 

"Tumeamua kuleta mapinduzi kwenye utoaji habari kwenye klabu yetu na naamini kwa muunganiko huu wa Dismas na Chicharito klabu yetu itafanikiwa sana kupitia kitengo iki cha Habari na mawasiliano kama vilabu vingine vikubwa duniani."-Boniface Mkwasa Katibu Mkuu Yanga SC.


Hivyo makala DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC

yaani makala yote DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/dismasi-ten-rasmi-ni-mkuu-wa-kitengo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DISMASI TEN RASMI NI MKUU WA KITENGO CHA HABARI WA YANGA SC"

Post a Comment