DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU

DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU
kiungo : DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU

soma pia


DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera ametoa msaada wa bati 100 na mifuko ya saruji 100 kwa shule ya msingi msinjili iliyopo kijiji cha msinjili kata ya Mlingoti magharibi Tarafa ya Mlingoti.
Dc Homera ameainisha matumizi ya msaada huo kama ifuatavyo, bati 25 na mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya msingi msinjili Iliyopo katika kijiji cha msinjili na Bati 60 pamoja na mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya kuezeka nyumba za walimu wawili wa shule ya msingi mwangaza zilizoezekwa kwa nyasi, sambamba na hayo aliagiza madarasa katika shule hio zikarabatiwe.



Hivyo makala DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU

yaani makala yote DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/dc-homera-atoa-msaada-wa-bati-100-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU"

Post a Comment