BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA

BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA
kiungo : BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA

soma pia


BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA


Dereva wa pikipiki akikwepa shimo katika barabra ya Saranga, King'ong'o jijini Dar es Salaam.

Halmashauri ya manispaa ya Ubungo, kupitia ziara ya kamati ya fedha iliyokuwa ikiongozwa na Mstahiki Meya, Boniface Jacob walifika kujionea hali ya uharibifu wa barabara hasa maeneo ya Kwandevu kuelekea King'ong'o kata ya Saranga.
Nakuhaidi kuishughulikia kwa dharula maeneo mawili 




yaliyoonekana kuharibika sana na kisababisha uharibifu wa magari, foleni na kuhatarisha Maisha ya watembea kwa miguu.

Matengenezo ya dharula yataanza hivi karibuni chini ya Mhandisi wa Halamshauri ya Ubungo huku Manispaa ikiendelea kufuatilia kuingiziwa fedha za barabara hiyo kutoka Manispaa ya kinondoni kwenye akaunti ya pamoja iliyofungwa na Bodi ya barabar ambapo zilitengewa kiasi cha shillingi Millioni 400 kuweka zege maeneo yote ya miteremko na vilima vya Matosa mpaka kimara kupitia King'ong'o.



Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jacob akiwa ameongozana na kamati ya fedha wakikangua barabara ya Saranga, King'ong'o ambazo zipo kwenye Matengenezo ya dharura, jijini Dar es Salaam.

IMETOLEWA Na OFISI YA MSTAHIKI MEYA HALMASHAURI YA MANISPAA UBUNGO.


Hivyo makala BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA

yaani makala yote BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/barabara-ya-saranga-kingongo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BARABARA YA SARANGA-KING'ONG'O KUKARABATIWA KWA DHARULA"

Post a Comment