Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari

Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari
kiungo : Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari

soma pia


Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesisitiza umuhimu wa Jamii Nchini kuendelea kukuza maadili na kujiepusha na vitendo vya unyanyasi wa kijinsia dhidi ya Watoto na Wanawake ili irejeshea heshima yake Zanzibar. 
Alisema Visiwa vya Zanzibar havikuwa ni kituo muhimu cha Biashara katika mkarne zilizopita bali pia vilikuwa ni kitovu cha Elimu, heshima, ustaarabu na ukuzaji wa silka, mila na desturi za Utamaduni wa asili. 
Akilifungua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari hapo katika Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michenzani Mjini Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliwaomba wana Jamii kushirikiana na Wizara inayosimamia Utamaduni katika kuuenzi Utamaduni wa Taifa hasa kuhamasisha jamii kuepuka tabia zisizofaa zinazowadhalilisha Watoto, Wanawake na Watu wenye mahitaji Maalum. Balozi Seif alisema suala la kukuza utamaduni si jambo geni na ni vyema wazazi wa karne hii wakaiga mifano ya Wazazi wa zamani waliotumia mbinu mbali mbali zikiwemo sherehe za jando na unyago mfumo uliomtayarisha Kijana wa Kike na wa Kiume namna ya kukabiliana na maisha yake ya baadae. 
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifurahia vitu vya sanaa za mkono wakati alipotembelea maonyesho ya Wajasiri Amali kabla ya kuzindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari.
 Balozi Seif  akihitaji maelezo kutoka kwa Mjasiri amali wa sanaa ya vitu vya ufinyanzi kwenye maonyesho ya kazi za sanaa katika uwanja wa Kumbu kumbu ya Mapinduzi Kisonge Michenzani Mjini Zanzibar.
 Mjasiri amali wa utengenezaji wa vitu vya  sanaa ya asili Viatu vya Mitarawanda kutoka Shehia ya Bweleo Bwana Ali Mwinjuma Kirobo akimpatia maelezo Balozi Seif wakati alipotembelea banda lao.
 Paredi la wasanii mbali mbali kutoka Wilaya za Unguja wakionyesha umahiri wao katika udumishaji wa Utamaduni wa Mzanzibari hapo Kisonge Mnara wa Kumbu kumbu.
Balozi Seif akionyesha umahiri wake katika kucheza ngoma ya ndege kutoka Skuli ya Msingi Kisiwandui iliyokuwa ikitumbuiza kwenye hafla ya ufunguzi wa Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari hapo Mnara wa kumbu kumbu Michenzani Mjini Zanzibar. Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari

yaani makala yote Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/balozi-seif-ali-iddi-azindua-tamasha-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari"

Post a Comment