title : BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU
kiungo : BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU
BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Prof. Ratlan Pardede ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Mwakilishi Mteule wa Papa nchini Tanzania, Mhashamu Marek Solczynskiofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Shirikisho la Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Detlef Wachter ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Hivyo makala BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU
yaani makala yote BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/balozi-mahiga-apokea-nakala-za-hati-za.html
0 Response to "BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU"
Post a Comment