ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA

ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA
kiungo : ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA

soma pia


ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipokea kadia kutoka kwa Niniani Bakhari, aliyekuwa Kada machachari wa Chadema, ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa ndani uliofayika leo katika mji mdogo wa Ngara mkoani Kagera
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Ninian kwa uamuzi wake wa kurejea CCM
Baadhi washiriki wa kikao wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Ngara, Mabalozi na viongozi kutoka Jumuia zote za CCM wakimpongeza Ninian kwa furaha baada ya kukabidhi kadi yake ya Chadema kwa Bulembo wakati wa kikao hicho.
Wengine waliamua kumkabidhi Ahaj Bulembo hadi bendera ya Chadema baada ya kulifunga tawi lao
Baadhi ya kadi za Chadema zilizorejeshwa kwa Alhaj Bulembo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo (kushoto) akishiriki wakati wachama wapya 71waliohamia CCM wakitokea Chadema, walipokuwa wakila kiapocha Mwana CCM, baada ya kukabidhiwa kadi za Chama kwenye kikao hicho,leo.



Hivyo makala ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA

yaani makala yote ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ziara-ya-bulembo-yavuna-wanachama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA BULEMBO YAVUNA WANACHAMA MACHACHARI WA CHADEMA NGARA"

Post a Comment