ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE

ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE
kiungo : ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE

soma pia


ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE



Zari na watoto wake.
Kampala: Baada ya kuanua matanga ya mumewe, Ivan Ssemwanga ‘Don Ivan’ aliyefariki dunia Mei 25, mwaka huu na kuzikwa huko Nakalilo nchini Uganda, staa wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ameondoka nchini humo na kuelekea nchini Afrika Kusini akiwa na wanaye hao wa kiume aliozaa na jamaa huyo, Pinto, Raphael na Quincy.

Akizungumza na mtandao wa habari za udaku wa Kampala muda mfupi kabla ya kukwea pipa, Zari alisema kuwa, watu wanadhani atashindwa kuwalea watoto hao wa Ivan kwa kuwa ana wengine wawili aliozaa na mwanaume wake wa sasa, lakini si kweli kwani ana uhakika wa kuwalea watoto hao.
“Watu wanasema nitaweza? Wengine wanasema siwezi? Hapana, naweza. Siwezi kushindwa kuwalea wanangu, nitawalea mwenyewe,” alikaririwa Zari.

Ivan enzi za uhai wake
Baada ya kuondoka nchini Uganda, Zari alikwenda moja kwa moja na wanaye na kuweka makazi kwenye nyumba aliyonunua mpenzi wake wa sasa iliyopo jijini Johannesburg.


Hivyo makala ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE

yaani makala yote ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/zari-adai-atawalea-watoto-wake-peke-yake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZARI ADAI ATAWALEA WATOTO WAKE PEKE YAKE"

Post a Comment