title : Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu
kiungo : Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu
Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu
Anasema hajapewa sumu bali alipata stroke BP ikapanda ikapelekea damu kumwagika kwenye ubongo.
Daktari akasema hawezi kurudia kama kawaida.
Madaktari walitaka kumfanyia operation ila presha ikawa 220 wakati normal BP ni 120.
Dokta alipoona hawezi kupona tena aliniita nije kumuaga na baada ya kumuaga saa 2 usiku nikapigiwa simu mgonjwa wako amekufa.
Watu wanasema kuna bifu kati yangu na familia ya Ivan ila sina bifu na familia ile.
Hivyo makala Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu
yaani makala yote Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/zari-aanika-kila-kitu-jinsi-ivan.html
0 Response to "Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu"
Post a Comment