Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo

Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo
kiungo : Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo

soma pia


Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo


Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage leo Alhamisi amevaa viatu vya Profesa Sospeter Muhongo kwa kusoma bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini bungeni.

Mwijage anavaa viatu hivyo baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa Profesa Muhongo kama waziri wa wizara hiyo kutokana na kushindwa kusimamia vizuri wizara.

Hilo lilitokea baada ya Rais Magufuli kupokea ripoti ya kamati ya kwanza ya kuchunguza makontena 277 ya mchanga wa madini yaliyozuiliwa kusafirishwa kugundua kuwa kuna madini mengi yanapitishwa kwenye mchanga huo.

Waziri Mwijage ambaye katika Serikali ya Awamu ya Nne aliwahi kuwa Naibu Waziri Katika Wizara ya Nishati na Madini atakuwa na kazi nzito katika bajeti hii kutokana na sakata la mchanga huo ambao wabunge wamekuwa na maoni tofauti tangu Rais Magufuli alipochukua uamuzi wa kuzuia makontena hayo.


Hivyo makala Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo

yaani makala yote Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/breaking-newswaziri-mwijage-avaa-viatu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Breaking News..Waziri Mwijage Avaa Viatu vya Profesa Muhongo"

Post a Comment