title : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017.
kiungo : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017.
YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akijibu miongozo mbalimbali ya wabunge mara baada ya kumaliza kipindi cha Maswali ya Kawaida katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 01, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017.
yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/yaliyojiri-katika-kikao-cha-39-mkutano.html
0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017."
Post a Comment