title : WAZIRI PROF. MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
kiungo : WAZIRI PROF. MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
WAZIRI PROF. MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akikabidhi zawadi ya picha na vinyago vya wanyamapori kwa Balozi wa Ujerumani nchini aliyemaliza muda wake, Egon Konchanke katika hafla ya kumuaga na kumshukuru iliyofanyika hivi karibuni katika Pori la Akiba la Selous, mkoani Morogoro. Balozi huyo ataondoka nchini kesho Ijumaa, tarehe 23 Julai, 2017 kurudi nchini kwao Ujerumani. Waziri Maghembe alimshukuru Balozi huyo kwa ushirikiano na misaada mbalimbali aliyoitoa, yeye binafsi na nchi yake katika kusaidia kuendeleza sekta ya uhifadhi nchini.
Balozi wa Ujerumani nchini aliyemaliza muda wake, Egon Konchanke (katikati) akifurahia zawadi ya picha na vinyago vya wanyamapori alivyopewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) katika hafla ya kumuaga na kumshukuru iliyofanyika hivi karibuni katika Pori la Akiba la Selous, mkoani Morogoro. Balozi huyo ataondoka nchini kesho Ijumaa, tarehe 23 Julai, 2017 kurudi nchini kwao Ujerumani. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi.
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akikabidhi zawadi ya picha na vinyago vya wanyamapori kwa Balozi wa Ujerumani nchini aliyemaliza muda wake, Egon Konchanke katika hafla ya kumuaga na kumshukuru iliyofanyika hivi karibuni katika Pori la Akiba la Selous, mkoani Morogoro. Balozi huyo ataondoka nchini kesho Ijumaa, tarehe 23 Julai, 2017 kurudi nchini kwao Ujerumani. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAWA, Martin Loibooki.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WAZIRI PROF. MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
yaani makala yote WAZIRI PROF. MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI PROF. MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-prof-maghembe-amuaga-na.html
0 Response to "WAZIRI PROF. MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE"
Post a Comment