WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI

Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akiangalia Mtoto wa Darasa la saba anayesoma shule ya Uhuru  Mchanganyiko Mariana  Alex  Mwenye  ulemavu  wa macho, anavyoweza kuandika  kwa kutumia  mashine  maalumu  ya kuandika, June 6 2017 Waziri  Mkuu  alikabidhi  vifaa  vya Kujifunzia   katika shule mbalimbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika Jijini  Dar es salaam
Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akijaribu  kuandika  kwa kutumia  kifaa maalumu  cha kujifunzia  kuandika  watoto wenye ulemavu  wa Macho 6 June2017, Kulia kwa Waziri Mkuu ni Waziri wa Elimu na Sayansi  Profesa  Joyce Ndalichako, Waziri  Mkuu  alikabidhi  vifaa  vya Kujifunzia   katika shule mbalimbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika  Jijini  Dar es salaam
 Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akisalimiana na Ofisa wa Banki ya Dunia anayeshughulikia  Elimu  nchini  Tanzania  Bibi  Cornelia  Jesse, katikati ni Ofisa  wa  Ubalozi  Swiden  Nchini Tanzania  anayeshughulikia Elimu Bibi Helena  Reutersward , maofisa hao walishiriki katika Uzinduzi  wa Usambaziji  vifaa  vya  kufundishia  Masomo ya  Sayansi  Shughuli hiyo ilifanyika 6 June 2017   katika  Viwanja  vya  Jeshi  Lugalo  Dar es salaam. Picha na Ofisi  ya  Waziri  Mkuu



Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI"

Post a Comment