WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA
kiungo : WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA

soma pia


WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakikagua karakana na baadhi ya kazi zinazofanywa na Taasisi ya Don Bosco wanaotekeleza mradi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi wa stadi za maisha ya Taifa kwa vijana, Mkoani Iringa mpango ambao utawanufaisha vijana elfu tatu mianne 3,400 mpango unaogharamiwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama amezindua Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi wa stadi za maisha ya Taifa kwa vijana, Mkoani Iringa mpango ambao utawanufaisha vijana elfu tatu mianne 3,400 mpango  unaogharamiwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli.

Mhe Mhagama amesema mpango huu ni sehemu ya kuwaandaa vijana ambao watashiriki katika mapinduzi ya viwanda nchi Tanzania na utasaidia kutoa fursa kwa vijana kujiajiri na kuajiriwa kupitia mafunzo ya Uanagenzi, katika nyanja za ujenzi, tehama, ufundi magari, na ushonaji nguo katika mikoa yote nchini Tanzania.

Katika awamu hii ya kwanza, mpango huu unaendeshwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania na taasisi ya Wasalesiani wa Don Bosco Tanzania.

Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Naibu waziri Mhe Anthony Mavunde, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Amina Masenza, Wabunge kutoka mkoa wa Iringa, na Njombe na Mkuu wa Shirika la Wasalesiani wa Don Bosco Africa Mashariki Fr. Simon Asira.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama akiangalia baadhi ya bidhaa katika moja ya mabanda baada ya kuzindua Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi wa stadi za maisha ya Taifa kwa vijana, Mkoani Iringa. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Anthony Mavunde.
Picha ya Pamoja.


Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mhagama-azindua-mradi-wa-progamu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA PROGAMU YA KITAIFA YA KUKUZA UJUZI WA NGUVU KAZI, MKOANI IRINGA"

Post a Comment