title : WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI
kiungo : WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI
WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI
WANANCHI wa Tumbe, Kamati za mazingira na jumuiya ya Vijana Wa Tumbe na Viongozi wa Serikali wakipanda miti ya Mikoko katika bonde la Pondeani katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.
MITI mbali mbali ya Mikoko ikiwa imepandwa katika bonde la Pondeani Tumbe, katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambayo huadhimishwa kila Juni 5 ya Kila mwaka.
AFISA habari kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Nassor Ali Salum akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kumaliza kazi ya upandaji wa Mikoko huko Tumbe, katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI
yaani makala yote WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wananchi-tumbe-washiriki-kupanda-mikoko.html
0 Response to "WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI"
Post a Comment