title : WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID BAADA YA ENEO LAO KUJAA MAJI
kiungo : WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID BAADA YA ENEO LAO KUJAA MAJI
WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID BAADA YA ENEO LAO KUJAA MAJI
Shimo lililokua likichimbwa mchanga zamani likionekana kujaa maji machafu ambayo hutiririka kwenye kiwanja maalum cha kusherehekea sikukuu mbalimbalinkatika kijiji cha Kianga na kusababisha kushindwa kufanyika sherehe hizo.
Kiwanja cha mpira cha Kianga Mento ambacho wananchi wanakitumia kwa sherehe za Iddi kikiwa kimejaa maji yanayotiririka kutoka kwenye shimo lililopo pembezoni mwa uwanja huo na kupelekea kushindwa kufanyika sherehe hizo mwaka huu. Picha na Abdalla Omar, Zanzibar.
Hivyo makala WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID BAADA YA ENEO LAO KUJAA MAJI
yaani makala yote WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID BAADA YA ENEO LAO KUJAA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID BAADA YA ENEO LAO KUJAA MAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wakazi-wa-kianga-washindwa.html
0 Response to "WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID BAADA YA ENEO LAO KUJAA MAJI"
Post a Comment