title : UZINDUZI WA WIKI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WAFANA LEO MJINI DODOMA
kiungo : UZINDUZI WA WIKI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WAFANA LEO MJINI DODOMA
UZINDUZI WA WIKI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WAFANA LEO MJINI DODOMA
Watoto wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma wakiongoza watoto wenzao kutoka shule mbalimbali za mji wa Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele chake ni tarehe siku 16 juni mwaka huu.
Kilanja Mkuu wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma Martha Linje akiongoza watoto wenzake kutoka shule mbalimbali za mjini Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele chake ni tarehe siku 16 juni mwaka huu.
Baadhi ya watoto kutoka shule za msingi mjini Dodoma wakiwa na mabango ya kupinga ukatili dhidi ya watoto kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele chake ni tarehe siku 16 juni mwaka huu.
Mkurugenzi wa Watoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto pamoja na Mbunge viti maalumu ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Mtoto wa Afrika wakipata maelekezo kutoka Maofisa wa Plan International hawapo pichani mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho hayo.
Hivyo makala UZINDUZI WA WIKI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WAFANA LEO MJINI DODOMA
yaani makala yote UZINDUZI WA WIKI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WAFANA LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA WIKI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WAFANA LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/uzinduzi-wa-wiki-ya-siku-ya-mtoto-wa.html
0 Response to "UZINDUZI WA WIKI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WAFANA LEO MJINI DODOMA"
Post a Comment