title : Uwanja wa Gombani kupakwa rangi
kiungo : Uwanja wa Gombani kupakwa rangi
Uwanja wa Gombani kupakwa rangi
Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya ZECCON, yenye makao makuu yake mjini Unguja, wakiwa katika kazi ya kukwa nguwa rangi kwenye majukwaa ya Kiwanja cha Michezo cha Gombani Pemba , kabla ya kuanza kufanya matengenezo na kupakaa rangi nyengine.

Baadhi ya Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya ZECCON, wakiziba baadhi ya sehemu zilizo vunjika katika kiwanja cha Michezo cha Gombani Pemba, kabla ya kuufanyia matengenezo na kupakaa rangi.
Mandhari ya Kiwanja cha Michezo cha Gombani kilivyo sasa hivi.
Picha na Khatib Juma Mjaja -PEMBA.
Hivyo makala Uwanja wa Gombani kupakwa rangi
yaani makala yote Uwanja wa Gombani kupakwa rangi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uwanja wa Gombani kupakwa rangi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/uwanja-wa-gombani-kupakwa-rangi.html
0 Response to "Uwanja wa Gombani kupakwa rangi"
Post a Comment