title : Ufunguzi wa Mafunzo ya Siasa na Uongozi ya Wanawake wa UWT.
kiungo : Ufunguzi wa Mafunzo ya Siasa na Uongozi ya Wanawake wa UWT.
Ufunguzi wa Mafunzo ya Siasa na Uongozi ya Wanawake wa UWT.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar , Dkt. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (CCM) (MNEC) Bi. Khadija Hassan Aboud pamoja na viongozi mbali mbali wa UWT Mkoa wa Mjini Zanzibar mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar , Dkt. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” akiwahutubia mamia ya wanachama na viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja, mara baada ya kufungua mafunzo ya Wanawake na Uongozi katika siasa huko Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini, Bi. Waridi Juma Othman akizungumza na viongozi na wanachama hao kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi afungue mafunzo hayo Ukumbi wa Mikutan o wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (CCM) (MNEC) Bi. Khadija Hassan Aboud akitoa maneno ya shukrani kwa mgeni rasmi Dkt. Abdulla Juma Saadalla “ Mabodi” kabla ya kuanza mafunzo hayo.
Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Bi. Waride Bakar Jabu akiwapungia na kuwasalimia washiriki wa mafunzo hayo ambao ni viongozi na wanachama wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja.
Mkufunzi wa Mafunzo hayo Bi. Emiley Nelson Fwambo akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Wanawake na Uongozi katika siasa.
Baadhi ya Viongozi na wanachama wa UWT walioudhuria katika mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini nasaha za mgeni rasmi Dkt. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” wakati akizungumza mara baada ya kufungua mafunzo hayo.
(Picha na Afisi Kuu Zanzibar.).
Hivyo makala Ufunguzi wa Mafunzo ya Siasa na Uongozi ya Wanawake wa UWT.
yaani makala yote Ufunguzi wa Mafunzo ya Siasa na Uongozi ya Wanawake wa UWT. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ufunguzi wa Mafunzo ya Siasa na Uongozi ya Wanawake wa UWT. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ufunguzi-wa-mafunzo-ya-siasa-na-uongozi.html
0 Response to "Ufunguzi wa Mafunzo ya Siasa na Uongozi ya Wanawake wa UWT."
Post a Comment