title : TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAZAMA PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA
kiungo : TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAZAMA PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA
TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAZAMA PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA
Mwambawahabari
Meneja rasilimali watu Irene Ungani-Kyara akizungumza na wafanyakazi wa idara ya uendeshaji na idara ya hazina (wakwanza kushoto).
Mkurugenzi wa uendeshaji Karoli Shayo akimuelekeza mteja namna ya kujaza fomu za kufanya muamala wa benki katika tawi la samora. Pamoja nae ni mkurugenzi wa biashara Mwallu Mwachang’a na meneja rasilimali watu Irene Ungani-Kyara
Mkuu wa masoko na mahusiano ya TIB Corporate Bank Theresia Soka akiwafafanulia jambo wateja
Meneja wa ukaguzi wa ndani William Shetto akimhudumia mteja,pamoja nae na meneja rasilimali
watu Irene Ungani-Kyara na afisa huduma kwa wateja Janeth Burton.
Na Theresia Soka T.I.B
TIB Corporate Bank imeadhimisha wiki ya utumishi wa umma.
Katika maadhimisho haya, wiki hii wakurugenzi wa benki wamekua mstari wa mbele katika kuwahudumia wateja ili kupata maoni yao na mrejesho utakaowezesha benki kutoa huduma bora zaidi.
Pia viongozi wa benki wamezungumza na wafanyazi wao kupata maoni yao mbali mbali na mapendekezo yatakayowezesha kuwa na mazingira mazuri zaidi ya kazi ili kuongeza ufanisi katika utendaji utakaowezesha utoaji wa huduma bora zaidi kwa wateja.
TIB Corporate Bank Ltd (TIB CBL) ni benki ya biashara inayomilikiwa na Serikali. Benki inatoa huduma zote za kibenki za kibishara kwa mashirika na taasisi za aina mbalimbali za serikali na binafsi , pia benki inatoa huduma kwa watu binafsi. Benki ina matawi 6 kwa sasa, Dar es salaam (3), Mwanza , Arusha na Mbeya.
Benki inatoa huduma mbalimbali kutokana na mahitaji ya mteja. Baadhi ya huduma hizo ni pamoja na; akaunti za aina mbalimbali kwa makampuni na watu binafsi, mikopo ya aina mbali mbali ya muda mfupi na wa kati, Dhamana za Kibenki(Guarantees),Uuzaji na ununuaji wa fedha za kigeni, ushauri wa uwezekaji katika hati fungani,ukusanyaji wa fedha na kuwezesha malipo ya jumla kwa makampuni pamoja na ulipaji wa mishahara kwa njia rahisi na ya haraka
Hivyo makala TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAZAMA PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA
yaani makala yote TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAZAMA PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAZAMA PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/tib-corporate-bank-yaadhimisha-wiki-ya.html
0 Response to "TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAZAMA PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA"
Post a Comment