title : TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE
kiungo : TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE
TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim wakiwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Armando Emilio Gwebuza wakiwa kwenye misa ya Kitaifa kuomboleza kifo cha Rais mstaafu wa Botswana Sir Ketumire Masire katika ukumbi wa Sports Centre wa Chuo Kikuu cha Botswana mjini Gaborone leo. Marehemu Masire anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Kanye, kilomita 80 kutoka Gaborone. Mhe Mkapa amemuwakilisha Rais Dkt John Magufuli kwenye msiba huo.
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Armando Emilio Gwebuza wakiwa kwenye misa ya Kitaifa kuomboleza kifo cha Rais mstaafu wa Botswana Sir Ketumire Masire katika ukumbi wa Sports Centre wa Chuo Kikuu cha Botswana mjini Gaborone leo. Marehemu Masire anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Kanye, kilomita 80 kutoka Gaborone
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akihojiwa na kituo cha TV cha Afrika Kusini cha SABC kwenye misa ya Kitaifa kuomboleza kifo cha Rais mstaafu wa Botswana Sir Ketumire Masire katika ukumbi wa Sports Centre wa Chuo Kikuu cha Botswana mjini Gaborone leo. Marehemu Masire anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Kanye, kilomita 80 kutoka Gaborone.
Rais Ian Khama wa Botswana akiongoza wakati wa nyimbo ya Taifa ikipigwa
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa na Mama Anna Mkapa na viongozi wengine wakitoka ukumbini baada ya misa ya Kitaifa kuomboleza kifo cha Rais mstaafu wa Botswana Sir Ketumire Masire katika ukumbi wa Sports Centre wa Chuo Kikuu cha Botswana mjini Gaborone leo. Marehemu Masire anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Kanye, kilomita 80 kutoka Gaborone. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE
yaani makala yote TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/taswira-za-rais-mstaafu-benjamin-mkapa.html
0 Response to "TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE"
Post a Comment