title : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAZISHI YA MAREHEMU MZEE FRANCIS MAIGE KANYASU
kiungo : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAZISHI YA MAREHEMU MZEE FRANCIS MAIGE KANYASU
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAZISHI YA MAREHEMU MZEE FRANCIS MAIGE KANYASU
Mwili wa marehemu utaagwa rasmi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia saa mbili na nusu asubuhi Jumamosi ya tarehe 3 Juni, 2017 na mara baada ya kuagwa mwili marehemu atasafirishwa na Serikali kwenda kijijini kwao Igokero, Wilaya ya Misungwi kwa ajili ya mazishi.
Taarifa zaidi kuhusu mazishi ya Mzee Kanyasu zitaendelea kutolewa kwa umma kadiri inapobidi.
Imetolewa na:
Bi. Sihaba S. Nkinga
KATIBU MKUU
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
(MAENDELEO YA JAMII)
Hivyo makala TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAZISHI YA MAREHEMU MZEE FRANCIS MAIGE KANYASU
yaani makala yote TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAZISHI YA MAREHEMU MZEE FRANCIS MAIGE KANYASU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAZISHI YA MAREHEMU MZEE FRANCIS MAIGE KANYASU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/taarifa-kwa-umma-kuhusu-mazishi-ya.html
0 Response to "TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAZISHI YA MAREHEMU MZEE FRANCIS MAIGE KANYASU"
Post a Comment