‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA

‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA
kiungo : ‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA

soma pia


‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA

Na Nurdin Ndimbe

Kwa miaka ya hivi karibuni Mkoa wa Mtawara umekuwa na maendeleo makubwa ya Kichumi na ya Kisiasa. Kutokana na mabadiliko hayo maendeleo ya Mkoa wa Mtwara yameongeza ari na matumaini mapya ya maisha bora kwa wananchi wa Mkoa huo. 

Mtwara ya sasa ni yenye fursa lukuki kutokana na miradi mbalimbali ya maendeleo yaliyotokana na uchimbaji wa gesi asilia, maendeleo ya uboreshaji wa miundombinu na ongezeko na mapato katika zao la korosho.

Maendeleo haya yameikumba Sekta mbalimbali Mkoani humo ikiwemo ya Sekta ya Sheria hususani Mahakama. Mahakama ya Tanzania kanda ya Mtawara yenye watumishi 218 ilianza kutekeleza Mradi wa Mapambano dhidi Rushwa (Strengthening Tanzania Anti-Corruption Action ) kwa kifupi STACA Mwaka 2011/2012 chini ya ufadhili wa Uingereza kupitia Shirika lake la misaada la Kimataifa la DFID. 

Lengo kuu la mradi huu ilikuwa ni kuzuia na kupambana na rushwa mahala pa kazi, Katika Mkoa wa Mtwara mradi huu ulihusisha Wilaya zote tano za Tandahimba, Masasi, Newala, Mtwara na Nanyumbu. Mradi huu ulijikita katika ugawaji wa vitendea kazi kama kompyuta na ‘printer’ zake, mafaili ya kufungulia mashauri (case files), makabati ya kutunzia mafaili na kumbukumbu, pikipiki kwa watumishi wa Mahakama pamoja na baiskeli kwa ajili ya kusambazia ‘Summons.’
Baadhi ya pikipiki zilizotolewa chini ya Mradi wa STACA, pikipiki hizi na baadhi ya vifaa vingine tajwa ni miongoni mwa vitendea kazi vilivyotolewa kurahisisha utoaji huduma ya haki.
Muonekano wa picha ya bango lenye ujumbe wa kuzuia na kupambana na Vitendo vya Rushwa ikiwa imebandikwa katika jengo la Mahakama Kuu-Kanda ya Mtwara. Bango hili ni kati ya Mabango mengi ambayo yamebandikwa katika majengo ya Mahakama nchini lengo likiwa ni kuzuia rushwa na vitendo vitendo vyenye ukosefu wa maadili.





Hivyo makala ‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA

yaani makala yote ‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/staca-mradi-wa-wenye-mafanikio-lukuki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "‘STACA’ MRADI WA WENYE MAFANIKIO LUKUKI MAHAKAMA MKOANI MTWARA"

Post a Comment