SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE

SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE
kiungo : SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE

soma pia


SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE


ss1
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akiwa katika dawati la mapokezi akimuhudumia mmoja wa wateja kwa sura ya furaha katika maadhimisho ya wiki ya utumishi iliyofanyika leo katika ofizi za Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii SSRA Kinondoni jijini Dar es salaam.
ss2
Mkurugenzi Mkuu Bi Irene Isaka akimsikiliza mteja kwa makini
ss3
Wafanyakazi wa SSRA wakiwahudumia wageni kwa sura ya bashasha
ss4
Mkurugenzi wa Tafiti,Tathimini na Sera akifafanunua baadhi ya mambo wakati wa semina ya Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii SSRA kwa maafisa Habari na mawasiliano serikalini
ss5
Mkurugenzi wa Uhusiano na Uhamasishaji toka SSRA Sara Kibonde Msika akiwasilisha mada kuhusu hali ya Hifadhi ya Jamii nchini wakati semina kwa maafisa Habari na mawasiliano serikalini
ss7
Mkuu wa kitengo cha Elimu kwa umma na mawasiliano toka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi Silvia Lupembe akitoa neno la shukrani wakati wa semina ya Hifadhi ya Jamii iliyoandaliwa na SSRA
ss8
Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Emmanuel Urembo akiwa kwenye dawati la mapokezi akimuhudumia mgeni aliefika kwenye ofisi za SSRA maeneo ya kinondoni moroco
ss9
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akiwa na Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kwenye moja ya vikao vilivyoandaliwa katika wiki ya utumishi wa umma lengo likiwa ni kusikiliza na kutatua changamoto zao
ss10
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakifuatilia semina ya Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii SSRA iliyoandaliwa na SSRA kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma 2017
ss6
Maafisa Habari na mawasiliano serikalini wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa SSRA baada semina ya Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii SSRA  kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma


Hivyo makala SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE

yaani makala yote SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ssra-yaadhimisha-wiki-ya-utumishi-wa_24.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SSRA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUHUDUMIA WATEJA WAKE"

Post a Comment