SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA

SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA
kiungo : SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA

soma pia


SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA

   Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Kuondoa Umasikini Ndg. Mungwe Athuman (kulia) wakimkabidhi  kitabu Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Manghweta Ndg. Elinetha Kimaro (kushoto) wakati wakigawa vitabu Mbali mbali kwa Shule za Sekondari zilizopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Kuondoa Umasikini Ndg. Mungwe Athumani (kulia) wakikabidhi vitabu kwa Mwl. Mkuu wa Shule ya sekondari Iduo Ndg. Cathbert Kalindo, Shule iliyopo Wilaya ni Kongwa Mkoani Dodoma.
 
 Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza na Wazazi wa Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Laikala iliyopo Wilayani Kongwa, Dodoma wakati wa zoezi la kugawa Vitabu shuleni hapo  vilivyotolewa na Mtandao Kuondoa Umasikini, kushoto ni Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa.
   Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa tatu kulia) akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ibwaga iliyopo Wilayani Kongwa, Dodoma baada ya kugawa vitabu shuleni hapo, vitabu hivyo  vimetolewa na Mtandao wa kuondoa Umasikini. Kulia kwa Spika ni Mweyekiti wa Mtandao huo Ndg. Mungwe Athuman  na kushoto kwake ni Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa. Zoezi la ugwaji wa vitabu hivyo lilianza  toka wiki iliyopita ambapo takribani shule thelathini za Sekondari zilizopo Wilaya ya Kogwa, Dodoma zimenufaika na msaada huo. (Picha na Ofisi ya Bunge).



Hivyo makala SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/spika-ndugai-agawa-vitabu-kwa-shule-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA"

Post a Comment