title : Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim
kiungo : Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim
Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim
" Tunapenda kutoa shukurani za dhati kabisa kutoka moyoni mwetu kwa wale wote walioshiriki kwa namna moja au nyengine katika kumuuguza na mpaka kumzika baba yetu, ndugu yetu, rafiki yetu, mwenzetu, mpendwa wetu, sk Farid Zaharan Salim wa Northampton, England. Kilicho tokea huko Northampton tarehe 13/06/2017, na kuzikwa huko huko Northampton 15/06/2017."
Allah amrehem na amlaze mahali pema peponi.. Amin
Wanafamilia
Shukran
Hivyo makala Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim
yaani makala yote Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/shukrani-za-dhati-kutoka-kwa.html
0 Response to "Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim"
Post a Comment