title : Sheikh Shariff afanya Dua maalum ya kuaga mwezi mtukufu wa Ramadhani jijini Arusha
kiungo : Sheikh Shariff afanya Dua maalum ya kuaga mwezi mtukufu wa Ramadhani jijini Arusha
Sheikh Shariff afanya Dua maalum ya kuaga mwezi mtukufu wa Ramadhani jijini Arusha
Sheikh Shariff Majini kutoka Dar es salaam Siku ya Eid Pili akiwa Arusha ameendesha Dua maalum ya kuaga Mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sheikh aliifanya Dua hiyo katika viwanja vya soko la Kilombero stendi ya Hiace.
Dua ya Sheikh ilianza saa nane na kumalizika saa kumi na mbili jioni na kuhudhuriwa na wakazi wengi wa Jiji la Arusha. Pia Sheikh alipata nafasi ya kusikiliza shida mbalimbali za watu waliojitokeza katika Dua. Sheikh anataraji kuendelea na Dua Jijini Arusha siku ya Eid Tatu (Jumatano tarehe 28-06-2017) katika viwanja vya Soko la Kilombero stendi ya Hiace.
Sheikh Shariff Majini akiwasili kuendesha Dua maalum ya kuaga Mwezi mtukufu wa Ramadhani katika viwanja vya soko la Kilombero stendi ya Hiace jijini Arusha.
Sehemu ya umati wakati wa dua hiyo katika viwanja vya soko la Kilombero stendi ya Hiace jijini Arusha.
Sheikh Shariff Majini akiendesha Dua maalum ya kuaga Mwezi mtukufu wa Ramadhani. katika viwanja vya soko la Kilombero stendi ya Hiace jijini Arusha.
Sehemu ya umati wakati wa dua hiyo katika viwanja vya soko la Kilombero stendi ya Hiace jijini Arusha.
Hivyo makala Sheikh Shariff afanya Dua maalum ya kuaga mwezi mtukufu wa Ramadhani jijini Arusha
yaani makala yote Sheikh Shariff afanya Dua maalum ya kuaga mwezi mtukufu wa Ramadhani jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sheikh Shariff afanya Dua maalum ya kuaga mwezi mtukufu wa Ramadhani jijini Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sheikh-shariff-afanya-dua-maalum-ya.html
0 Response to "Sheikh Shariff afanya Dua maalum ya kuaga mwezi mtukufu wa Ramadhani jijini Arusha"
Post a Comment