title : Sakho wa Timu ya Liverpool Atembelea Kituo cha Watoto Yatima cha SOS Zanzibar.
kiungo : Sakho wa Timu ya Liverpool Atembelea Kituo cha Watoto Yatima cha SOS Zanzibar.
Sakho wa Timu ya Liverpool Atembelea Kituo cha Watoto Yatima cha SOS Zanzibar.
Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Familia ya beki wa kimataifa wa Ufaransa, Mamadou Sakho anayechezea Liverpool ya England jana jioni ametembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha SOS kilichopo Mombasa Unguja.
Sakho amefatana na mke wake Madna na Watoto wake wawili wa kike.
Jana Ijumaa saa 3:00 za usiku katika uwanja wa Amaan Sakho amezindua Mashindano ya COCO SPORTS NDONDO CUP katika uwanja wa Amaan, mchezo ambao Taifa ya Jang’ombe walifungwa 2-1 na Mlandege SC.
Sakho yupo hapa Viswani Zanzibar tangu Jumamosi June 17, 2017 kwa ziara ya kiutalii ambapo awali ziara hiyo alianzia Tanzania bara kisha kurejea nyumbani Ufaransa na badae moja kwa moja Jumamosi kufika hapa Zenj.
Hivyo makala Sakho wa Timu ya Liverpool Atembelea Kituo cha Watoto Yatima cha SOS Zanzibar.
yaani makala yote Sakho wa Timu ya Liverpool Atembelea Kituo cha Watoto Yatima cha SOS Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sakho wa Timu ya Liverpool Atembelea Kituo cha Watoto Yatima cha SOS Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sakho-wa-timu-ya-liverpool-atembelea.html
0 Response to "Sakho wa Timu ya Liverpool Atembelea Kituo cha Watoto Yatima cha SOS Zanzibar."
Post a Comment