Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake

Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake
kiungo : Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake

soma pia


Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake

Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Nuhu Mgeta (35)  mkazi wa kijiji cha Kisabo wilayani Magu mkoani Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya mauaji  ya mtoto wake wa kiume  Misungwi Nuhu (6) baada ya kumziba pua kisha kumtupia kwenye dimbwi la maji.

Imeelezwa kuwa mtuhumiwa alikuwa akiishi na watoto wake kutokana na kutengana na mke wake kwa muda mrefu.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa baada ya upelelezi kukamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.

Baadhi ya wananchi wamelaani tukio hilo na kuliomba Jeshi la Polisi kumchukulia hatua kali za kisheria mtu huyo.


Hivyo makala Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake

yaani makala yote Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/polisi-mwanza-wamtia-mbaroni-mtu-mmoja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Polisi Mwanza wamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kumwua mtoto wake"

Post a Comment