title : NEWS UPDATES: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana warudishwa rumande mpaka Julai 3, 2017
kiungo : NEWS UPDATES: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana warudishwa rumande mpaka Julai 3, 2017
NEWS UPDATES: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana warudishwa rumande mpaka Julai 3, 2017
Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Celestine Mwesigwa wamepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam na kusomewa mashtaka yanayo wakabili likiwemo la Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa saini ya Bank, Kufanya fojari ya risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee Na Mwisho ni shtaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani zaidi ya laki tatu (hii inawahusu wote watatu ambao ni Malinzi, Mwesigwa na Nsiana). Watuhumiwa hao wamerudishwa rumande na kesi yao imepangwa kusikilizwa tena Julai 3, 2017. Taarifa kamili itawajia baadae kidogo.
Hivyo makala NEWS UPDATES: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana warudishwa rumande mpaka Julai 3, 2017
yaani makala yote NEWS UPDATES: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana warudishwa rumande mpaka Julai 3, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS UPDATES: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana warudishwa rumande mpaka Julai 3, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/news-updates-malinzi-mwesigwa-na-nsiana.html
0 Response to "NEWS UPDATES: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana warudishwa rumande mpaka Julai 3, 2017"
Post a Comment