title : NEWS ALERT: RAIS WA TFF NA KATIBU WAKE WATIWA MBARONI
kiungo : NEWS ALERT: RAIS WA TFF NA KATIBU WAKE WATIWA MBARONI
NEWS ALERT: RAIS WA TFF NA KATIBU WAKE WATIWA MBARONI
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii inaeleza kuwa, Rais wa Shirikisho la Soka nchini, Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Selestine Mwesigwa wanashikirikia na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na wapo katika Kituo cha Polisi Salander Bridge ili kupisha uchunguzi dhidi yao. hilo limethibitisha na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Takukuru, Mussa Misalaba alipokuwa akihojiwa na kituo cha Radio EFM leo. Misalaba amesema ni kweli wanawashikilia na taarifa zaidi wataitoa baada ya kumaliza uchunguzi wao, kwa sasa ifahamike kuwa viongozi hao wanawashikilia.
Hivyo makala NEWS ALERT: RAIS WA TFF NA KATIBU WAKE WATIWA MBARONI
yaani makala yote NEWS ALERT: RAIS WA TFF NA KATIBU WAKE WATIWA MBARONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: RAIS WA TFF NA KATIBU WAKE WATIWA MBARONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/news-alert-rais-wa-tff-na-katibu-wake.html
0 Response to "NEWS ALERT: RAIS WA TFF NA KATIBU WAKE WATIWA MBARONI"
Post a Comment