MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO.

MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO.
kiungo : MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO.

soma pia


MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO.


Sanduku lenye Mwili wa Marehemu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Marehemu Phillemon Ndesamburo,ukiandaliwa tayari kwa kuagwa katika uwanja wa Majengo,mjini Moshi mkoani Kilimanjaro mapema leo mchana.
  Gari lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo lilielekea katika viwanja vya Majengo kwa ajili ya kuagwa mwili huo.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi waliofika kwenye uwanja  huo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Majengo kwa ajili ya kuagwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Marehemu Phillemon Ndesamburo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwasili katika viwanja vya Majengo kwa ajili ya kuagwa mwili wa  aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Marehemu Phillemon Ndesamburo.
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa wamebeba jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Marehemu Phillemon Ndesamburo. 

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO.

yaani makala yote MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mzee-ndesamburo-kuagwa-leo-uwanja-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MZEE NDESAMBURO KUAGWA LEO UWANJA WA MAJENGO,MKOANI KILIMANJARO."

Post a Comment