Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar

Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar
kiungo : Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar

soma pia


Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Helene Weesie (kulia) pamoja na Meneja Uwajibikaji wa SBL, Hawa Ladha (kulia) wakimtwika ndoo ya maji mkazi wa Chang'ombe B, Mgeni Hamisi Ramadhani leo ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 uliopo eneo la Chang’ombe ‘B’ wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam. Mradi huo umefadhiliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL).
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Helene Weesie (kulia) pamoja na Diwani Kata ya Chang'ombe, Benjamin Ndalichako (kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 uliopo eneo la Chang’ombe ‘B’ wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam. Mradi huo umefadhiliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL).
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 uliopo eneo la Chang’ombe ‘B’ wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam. Mradi huo umefadhiliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL).


KAMPUNI ya Bia Serengeti leo imezindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 uliopo katika eneo la Chang’ombe ‘B’ wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam ikiwa ni jitihada za kuwaletea maji safi na salama wakazi wa eneo hilo.

Ukiwa na uwezo kwa kuhudumia watu 4,000 mradi huo unajumuisha kisima pamoja na mifumo yake, pampu ya maji inayotumia nishati ya jua na tenki la maji ambapo zinazalishwa lita 20,000 za maji kwa kila masaa ishirini na nne.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Helene Weesie alisema kuwa mradi huo ambao unajulikana, “Maji kwa Uhai” ni miongoni mwa mikakati kama hiyo ambayo kampuni ya bia imeiendesha katika mikoa ya Iringa, Kilimanjaro, Mwanza, Tanga, Ruvuma, Dar es Salaam, Pwani na Dodoma ikiwa inawanufaisha zaidi ya watu milioni moja kwa maji safi na salama.

Weesie alisema kwamba mradi wa Chang’ombe sio tu kwamba utaboresha afya za wakazi wa eneo hilo bali pia utaongeza tija kiuchumi, “hususani kwa watoto wa kike na wanawake ambao hawatahitaji kutumia saa nyingi kutafuta maji safi sehemu nyingine. Hii inawapa fursa ya kuhudhuria shule wakiwa huru.”



Hivyo makala Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar

yaani makala yote Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mradi-wa-maji-wenye-thamani-ya-shilingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 wazinduliwa kwa wakazi wa Chang’ombe,jijini Dar"

Post a Comment