MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBUROkiungo :
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akisalimiana na Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Kilimanjaro alipofika nyumbani kwa Marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo kutoa pole kwa familia.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akisalimiana na mtoto wa Marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo Bw. Sindato Ndesamburo alipotembelea nyumbani kwa marehemu kutoa pole kwa familia.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akitia saini katika kitabu cha waombolezaji mara baada ya kufika nyumbani kwa Marehemu Dkt Ndesamburo kutoa salamu za pole kwa familia.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira akizungumza jambo na mjane wa Marehemu Dkt Ndesamburo Mama Ndehorio Ndesamburo alipofika nyumbani kutoa salamu za pole kwa familia. Picha na Daily News blog.
Hivyo makala MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mkuu-wa-mkoa-wa-kilimanjaro-mhe-anna.html
Related Posts :
TANZANIA FREIGHT FORWARDERS ASSOCIATION EXTRA-ORDINARY MEETING APRIL 28, 2018 AT KARIMJEE HALL IN DAR ES SALAAM
… Read More...
WANANCHI WAJITOLEA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA PANGANI MJINI KIBAHA
Wakazi mbalimbali kutoka mitaa ya kata ya Pangani, Kibaha Mjini wakionekana pichani kujitolea katika nguvu kazi kujenga shule ya seko… Read More...
RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AKUNWA NA KASI YA RAIS MAGUFULI
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, DKT. AKINUMWI ADESINA, ameanza ziara ya kikazi ya siku t… Read More...
MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MTUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU, AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALIWAZIRI MKUU Kassim Majaliwaleo (Jumatano, Aprili, 25, 2018) ameshiriki maziko ya aliyekuwa mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu marehemu Bw. Atu… Read More...
RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AKUNWA NA KASI YA RAIS MAGUFULINa Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, DKT. AKINUMWI ADESINA, ameanza ziara … Read More...
0 Response to "MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO"
Post a Comment