Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar.

Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar.
kiungo : Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar.

soma pia


Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar.



Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Mh Charles Mwijage (kushoto), akizungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) Mh. Almas Maige (kulia), huku Mkurugenzi Mtendaji wa ATE, Dk. Aggrey Mlimuka akisikiliza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama hicho jijini Dar es Salaam jana.
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (wa pili kushoto) akilakiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Almas Maige (kushoto), na Mratibu wa Mradi wa Mwanamke wa Wakati Ujao, Lilian Machera (kulia) alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama hicho, Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Mama Jayne Nyimbo (wa pili kushoto), akizungumza mara baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo wakati wa Mkutano Mkuuu wa Mwaka wa chama hicho jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa ATE, Dk. Aggrey Mlimuka, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Mhe. Almas Maige na Makamu Mwenyekiti mpya, Felix Kagisa.
Mkurugenzi​Mtendaji ​ wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka (kushoto), akiwa na baadhi ya maofisa wa chama hicho wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea. 



Hivyo makala Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar.

yaani makala yote Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mkutano-mkuu-wa-mwaka-wa-chama-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wafanyika Dar."

Post a Comment