MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1
kiungo : MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1

soma pia


MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1

 TAGS
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephraim Kwesigaboakiongea na wanahabari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Mei  2017 jijini Dar es Salaam leo.
mwambawahabari
MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Mei, 2017 umepungua hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Aprili, 2017.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo amesema kupungua kwa mfumuko wa bei kunatokana na kupungua kwa kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwezi Aprili, 2017.
“Mfumuko wa Bei wa Taifa umepungua kutoka asilimia 6.4 kwa mwezi Aprili, 2017 hadi kufikia asilimia 6.1 kwa mwezi Mei , 2017 kutokana na kupungua kwa kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma kwa mwezi Mei, 2017,” amesema Kwesigabo.
Kwesigabo amesema Mfumuko wa Bei wa mwezi Mei, 2017 unaopimwa kwa kipimo cha mwezi umeongezeka kwa asilimia 0.2 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 0.5 ilivyokuwa mwezi Aprili, 2017.
Amesema Fahirisi za Bei zimeongezeka hadi 109.26 kwa mwezi Mei, 2017 kutoka 109.04 mwezi Aprili, 2017 kutokana na kuongezeka kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.
Kwesigabo ametaja bidhaa za vyakula zilizochangia kuongezeka kwa fahirisi kuwa ni pamoja na mahindi yaliyoongezeka kwa asilimia 4.2, maharage mabichi kwa asilimia 2.9, maharage ya soya kwa asilimia 2.2, unga wa mtama kwa asilimia 1.5, viazi mviringo kwa asilimia 2.0, mihogo mikavu kwa asilimia 2.3, na magimbi kwa asilimia 2.5.
Aidha bidhaa zisizo za vyakula zilizochangia kuongezeka kwa fahirisi za bei ni pamoja na mkaa ulioongezeka kwa asilimia 2.5.
Ameongeza kuwa Mfumuko wa Bei kwa bidhaa za vyakula nyumbani na migahawani kwa mwezi Mei, 2017 umepungua hadi asilimia 11.8 kutoka asilimia 12.0 mwezi Aprili, 2017. Aidha, badiliko la Fahirisi za Bei kwa bidhaa zisizo za vyakula umepungua hadi asilimia 3.0 mwezi Mei, 2017 kutoka asilimia 3.4 mwezi Aprili, 2017.


Hivyo makala MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1

yaani makala yote MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mfumuko-wa-bei-wa-taifa-wapungua-hadi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1"

Post a Comment