MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO

MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO
kiungo : MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO

soma pia


MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO

MBUNGE wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso amewataka wananchi kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kwa kuongeza uzalishaji ili waweze kupata mafanikio na kijikwamua kichumi. 

Aweso aliyasema hayo wakati akizungumza na Mtandao huu ambapo alisema wilaya ya Pangani imejaliwa kuwepo na ardhi yenye rutuba ambayo inaweza kustawisha mazao ya aina yoyote. Alisema kutoka na fursa hivyo wananchi wanapaswa kuitumia kama mtaji wa kuweza kulima kilimo chenye manufaa ambacho kinaweza kuwa mkombozi wao. 

Aidha pia alisema lazima wabadilike waona namna ya kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo ikiwemo mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kwa kuongeza wigo mpana wa kujikita kwenye kilimo. 

“Mradi mkubwa wa bomba la mafuta hii ni fursa kubwa hivyo lazima wananchi wa Jimbo langu la Pangani waone ni vipi wanaweza kuitumia kwa kuongeza uzalishaji wenye tija na manufaa kwao “Alisema. 

Hata hivyo aliwataka wakazi wa wilaya hiyo kushikamana kwa pamoja ili kuweza kupata maendeleo ikiwemo kuongeza bidii katika kuzalisha mazao mbalimbali yanayolimwa na kustawi vizuri. 

Hata hivyo aliwataka kulinda maeneo yao na kuacha kuyauza jambo ambalo linaweza kuwarudisha nyuma kimaendeleo na kujikita wakishindwa kuendana na ujio wa fursa mbalimbali ikiwemo mradi wa bomba la mafuta. 

“Ndugu zangu wananchi wanaweza kutokea watu wakawarubuni muwauzie maeneo yenu niwaambie tu achane kuuza maeneo yenu ovyo kutokana na ujio wa fursa hiyo muhimu “Alisema.
MBUNGE wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akizungumza na Wananchi.Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.


Hivyo makala MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO

yaani makala yote MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mbunge-pangani-awataka-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE PANGANI AWATAKA WANANCHI KUWEKEZA KWENYE KILIMO ILI KUPATA MAFANIKIO"

Post a Comment