title : MATUKIO YA PICHA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MZEE PHILEMON NDESAMBURO MJINI MOSHI KILIMANJARO
kiungo : MATUKIO YA PICHA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MZEE PHILEMON NDESAMBURO MJINI MOSHI KILIMANJARO
MATUKIO YA PICHA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MZEE PHILEMON NDESAMBURO MJINI MOSHI KILIMANJARO
MwambawahabariMatukio mbalimbali kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye msiba wa Marehemu Mzee Philemon Ndesamburo aliyefariki hivi karibuni mkoani humo, Marehemu Ndesamburo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini utaagwa kwenye uwanja wa Majengo kuanzia leo na kesho na kisha kuzikwa mkoani humo haya ni matukio kadhaa ya picha za matukio yanayoendelea katika msiba huo.
Baadhi ya wa vijana waendesha bodaboda wakijiandaa kwa ajili ya maandamano maalum wakati mwili wa marehemu utakapokuwa akipelekwa kwenye uwanja wa Majengo.
Gari Maalum litakalochukuwa mwili wake.
Eneo la Uwanja wa Majengo ambalo ndipo shughuli za kuaga mwili zitafanyika likiwa limepambwa tayari kwa shughuli hizo.
Hivyo makala MATUKIO YA PICHA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MZEE PHILEMON NDESAMBURO MJINI MOSHI KILIMANJARO
yaani makala yote MATUKIO YA PICHA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MZEE PHILEMON NDESAMBURO MJINI MOSHI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO YA PICHA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MZEE PHILEMON NDESAMBURO MJINI MOSHI KILIMANJARO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-ya-picha-katika-msiba-wa.html
0 Response to "MATUKIO YA PICHA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MZEE PHILEMON NDESAMBURO MJINI MOSHI KILIMANJARO"
Post a Comment