Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri

Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri
kiungo : Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri

soma pia


Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri




Viongozi na walimu wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), wakishangilia baada ya kumaliza mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kujiamini, kujitambua na ujasiri katika kambi iliyofanyika hivi karibuni eneo la Mombasa, Dar es Salaam. Zaidi ya 36 kutoka mikoa mbalimbali walishiriki kwenye mafunzo hayo. Pia katika mafunmzo hayo yaliyofanyika kwa wiki moja yalihudhuriwa na viongozi kutoka nchi za Uganda, Rwanda na Madagascar




Mgeni rasmi katika hafla ya kufungakambi hiyo yalifanywa na Katibu Mkuu wa TGGA Tanzania, Grace Shaba, ambaye aliwaasa kuyatumia vizuri mafunzo hayo kwenda kuanzisha kambi za kuwafundisha wanachama mikoani wanakotoka. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG



Baadhi ya wahitimu wa mafunzo hayo wakiruka kwa furaha



Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akimkabidhi cheti mmoja wa walimu waliohitimu mafunzo hayo.



Grace Shaba akimkabidhi m cheti mmoja wa wahitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Jestina Philip



Grace Shaba akimkabidhi cheti Makamu Mwenyekiti wa TGGA Mkoa wa Lindi, Sharifa



Grace Shaba akimkabidhi cheti Happy wa Makao Makuu ya TGGA Dar es Salaam








Mwalimu wa Girl Guides , Valentina akikabidhiwa cheti



Kiongozi wa Girl Guides wa TGGA, Makao Makuu, Rehema Kijazi akipokea cheti kutoka kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Grace Shsba. Katikati ni Kamishna Rose.



Michelle kutoka Rwanda akifurahi baada ya kukabidhiwa cheti



Kiongozi wa Girl Guides kutoka Madagascar akipokea cheti



Katibu wa TGGA Mkoa wa Lindi, akipokea cheti



Kiongozi kutoka Tanga, akipokea cheti



Twarhiya Hussein kutoka Lindi mtoto pekee aliyehitimu mafunzo hayo na kufanya vizuri, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba.








Rachel Baganyila kutoka Uganda akifurahi kupokea cheti



Ni wakati wa kucheza ngoma




Hivyo makala Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri

yaani makala yote Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-tgga-yakabidhi-vyeti-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri"

Post a Comment