Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji

Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji
kiungo : Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji

soma pia


Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji



Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi akitoa ufafanuzi kuhusu taratibu zinazohusu menejimenti ya Rasilimaliwatu serikalini kwa viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika Ofisi za Halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Bi. Amina Kiwanuka.

Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakizungumza masuala ya kiutumishi na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2017.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Bi. Amina Kiwanuka akieleza utekelezaji wa masuala ya kiutumishi katika eneo lake la kwa Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma waliomtembelea ofisini kwake leo alasiri kuhimiza uwajibikaji ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.

Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Bw. Abdullfariq Mkata (wa pili kulia) akitoa taarifa ya kiutendaji ya Idara yake kwa Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma walipoitembelea Halmashauri hiyo leo kuhimiza uwajibikaji ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.




Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma wa Ofisi ya Rais,Menenimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Issa Ng’imba akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kiutumishi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Bi. Amina Kiwanuka ofisini kwa mkurugenzi huyo leo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi. Amina Kiwanuka akisikiliza kwa makini.


Hivyo makala Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji

yaani makala yote Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-ofisi-ya-rais-utumishi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Ofisi ya Rais , Utumishi Yatembelea Halmashauri ya Wilaya Wanging'ombe Kuhimiza Uwajibikaji"

Post a Comment