title : Matukio : EAC Yawaandalia Hafla fupi Wafanyakazi wake Wapya Jijini Arusha
kiungo : Matukio : EAC Yawaandalia Hafla fupi Wafanyakazi wake Wapya Jijini Arusha
Matukio : EAC Yawaandalia Hafla fupi Wafanyakazi wake Wapya Jijini Arusha
Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.
Wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakijitambulisha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.
Mmoja wa wafanyakazi wa EAC,Beata Mukabaranga(kushoto)akikaribishwa na kupokelewa na msimamizi wake katika eneo la kazi.
Mratibu wa Habari katika Sekretariat ya EAC,Florian Mutabazi(kushoto),Afisa Habari Mwandamizi wa bunge la Eala,Bob Odiko na wadau wengie wakiwa katika hafla ya kuwakaribisha wafanyakazi wapya wa jumuiya hiyo.
Mkurugenzi mpya wa Miundombinu wa EAC,Kamugisha Kazaura akitoa neno la shukrani
Wadau wa EAC wakipata mapochopocho
Hivyo makala Matukio : EAC Yawaandalia Hafla fupi Wafanyakazi wake Wapya Jijini Arusha
yaani makala yote Matukio : EAC Yawaandalia Hafla fupi Wafanyakazi wake Wapya Jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : EAC Yawaandalia Hafla fupi Wafanyakazi wake Wapya Jijini Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-eac-yawaandalia-hafla-fupi.html
0 Response to "Matukio : EAC Yawaandalia Hafla fupi Wafanyakazi wake Wapya Jijini Arusha"
Post a Comment