title : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
kiungo : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
MwambawahabariMmoja kati ya Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe akiuliza swali wakati wa kikao kazi na Naibu Katibu Mkuu-Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw.Micky Kiliba,akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiutumishi yaliyojitokeza katika kikao kazi na Watumishi wa Umma.
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw.Micky Kiliba,akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiutumishi yaliyojitokeza katika kikao hicho.
Mkurugenzi Idara ya Ukuzaji Maadili Ofisi ya Rais,UTUMISHI Bw. Mathew Kirama akitoa mada kuhusu maadili katika Utumishi wa Umma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Mmoja wa Watumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songwe akiuliza swali wakati wa kikao kazi cha Wiki ya Utumishi wa Umma na viongozi wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Viongozi na Watumishi wa Umma wa Halmshauri ya Wiaya ya Songwe waliohudhuria kikao hicho.#wikiyautumishi 2017
Hivyo makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
yaani makala yote MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/maadhimisho-ya-wiki-ya-utumishi-wa-umma_25.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE"
Post a Comment