JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa

JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa
kiungo : JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa

soma pia


JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa

Prof. Ninatubu Lema, Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (aliyenyoosha mikono) akimweleza jambo Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kutoka kulia), leo wakati akianza ziara ya kutembelea jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA_TBIII).
Meneja wa Mradi wa Jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBIII), Bw. Ray Blumrick (kushoto) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwenye ujenzi wa jengo hilo, ambapo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Makame Mbarawa (wa tatu kutoka kushoto) akimsikiliza kwa makini.
Mhandisi Simba Charles (aliyenyoosha mkono) akionesha eneo la maegesho ya magari kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (katikati), leo alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Bw. Ray Blumrick, Meneja Mradi wa jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBIII) akimwelekeza namna paa lilivyo imara, Prof. Makame Mbarawa (Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano) aliyetazama juu katikati wakati wa ziara yake kwenye jengo hilo leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Prof Ninatubu Lema akifafanua jambo mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (wa pili kutoka kushoto) leo alipofanya ziara ya kutembelea jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa TAA, Bw. Richard Malulu.


Hivyo makala JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa

yaani makala yote JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/jnia-tbiii-kuanza-kutumika-dec-2018-mhe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa"

Post a Comment