title : IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI
kiungo : IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI
IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI
Mwambawahabari
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HICHO. IGP SIRRO ALITUMIA FURSA HIYO KUWATAKA WANANCHI KIJIJINI HAPO KUTOWAFUMBIA MACHO WAHALIFU WANAOTENDA MAUAJI HAYO NA KUWATAKA KUWA NA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KWA KUTOA TAARIFA ZA WAHALIFU HAO.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKITOA RAMBIRAMBI YA MSIBA KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HICHO
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIKAGUA NYUMBA ILIYOCHOMWA MOTO NA WAHALIFU WALIOFANYA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI HAYO. PICHA NA HASSAN MNDEME-JESHI LA POLISI.
Hivyo makala IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI
yaani makala yote IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/igp-sirro-awafariji-wafiwa-kibiti_29.html
0 Response to "IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI"
Post a Comment